Header Ads

ad728
  • Breaking News

    BREAKING NYUZZZZZZ........: MWENYEKITI WA MAKAMPUNI YA IPP, DKT. REGINALD MENGI AFARIKI DUNIA


    Taaarifa iliyotufikia kwa masikitiko makubwa katika chumba cha habari ya Globu ya Jamii zinazeleza kuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP , Dkt Reginald Abraham Mengi amefarikia Dunia akiwa Dubai, U.A.E, usiku wa kuamkia leo. 

    Kufuatia msiba huo Mkubwa kwa Taifa,tutaedeleea kuwaletea taarifa kamili kadiri ya zitakavyokuwa zikiingia. 

    Michuzi Media Group inatoa pole kwa ndugu zetu wa IPP, Familia ya Marehemu na wote walioguswa na msiba huu kwa namna moja nyingine.

    Mungu ailaze roho ya Marehemu , mahali pema, peponi -AMEN

    Hakuna maoni

    Post Top Ad

    ad728

    Post Bottom Ad

    ad728