Header Ads

ad728
  • Breaking News

    MITINDO

    Mishono vitambaa weddings ya vitenge

     Mishono vitambaa weddings ya vitenge ?.Ya Mishono Ya Vitenge Mishono MIPYA Ya Wamama MBALIMBALI Fashion Mishono Ya Kitenge Mishono Ya Vitenge KWA Wadada Mishono Mpya Lets bang off Furahi day na mishono mikali kama 6 hivi ya african prints/vitenge.

     

     

     

     

     

     

    Mitindo bora ya nywele kwa watoto

    Mitindo bora ya nywele kwa watoto. 

    Wazazi wengi wamekuwa wakiharibu nywele za watoto wao zikiwa bado ndogo kwa sababu ya kuweka  dawa katika vichwa vya watoto wao.Wengine wamekuwa wakiwasuka watoto mitindo inayowafanya kuvutwa kwa nywele zao na kuwaumiza vichwa eti kisa fashion na kutaka mtoto apendeze, ilhali kuna mitindo mizuri ya kusuka bila kuharibu nywele za mtoto kwa kuziweka dawa au kumvuta kusuka mitindo itakayo muumiza.
    Kama unataka kumsuka mtoto basi hii inaweza kuwa baadhi ya mitindo mizuri kwa watoto.





     NB:Wazazi wanapaswa kukumbuka kuwa unapomuweka dawa mtoto au kumsuka mtoto mitindo ya kuvutwa nywele sio tu unamuumiza lakini pia una haribu ubongo wake.Wapendeni watoto kwa kwendana na fashion lakini inapaswa kuchagua ni fashion gani  amabyo haitaathiri afya ya mtoto.

    Misuko mipya ya yebo yebo 2018.

    Wanawake wengi wa kiafrica hupenda kusuka nywele mbalimbali lakini wengi wao sikuhizi hupenda kusuka mtindo ujulikanao kwa jina la yeboyebo ,mtindo huu hutumia rasta zaidi ili kuweza kuwa na mvuto.



    18160991_545518925836518_7026455067624472576_n-jpg.684610Image result for mitindo ya nywele

    Mtindo huu husukwa sana na watu wote kwa kuwa umeonekana hauna madhara kwa mtu yeyote wakiwemo wadada,wamama, pamoja na watoto.


    PATA MITINDO MBALIMBALI YA MISHONO YA VITENGE YA 2018.

     

    Nigerian fashion 2018

    Ankara style #ankaraprint #asoebi #ankaracollections
    Image result for nigerian fashion
    Image result for nigerian fashion
    Image result for nigerian fashion

     

    Image result for nigerian fashion 

     

    Tanzanian foshion 2018 




    Image result for mitindo ya nguo tanzania 
     Image result for mitindo ya nguo tanzania

    Hakuna maoni

    Post Top Ad

    ad728

    Post Bottom Ad

    ad728