Harusi ya ALIKIBA ni shida
Msanii wa Bongo fleva anaye julikana kwa jina la ALIKIBA afanya uwamuzi ambao ni mgumu sana, Msanii huyo ameamua kufunga ndoa na mke, mlimbwende . Aiseeh Bro ALIKIBA twakupa pongezi sana kwa hatua nzuri na maamuzi mazurilukwije Entertainment.com kwa habari zaidi tazama video kisha comment.
Hakuna maoni