Manchester united waibuka mabingwa 2-1 zidi ya Arsenal
FT Manchester United Yaifunga Arsenal 2-1 uwanja wa Old Trafford.
Pogba na Felain waifungia United .
Manchester United wakiwa Oid Trafford wakisherekea ubingwa zidi ya wapinzani wao Arsenal, kwa kuweza kuwapa kichapo cha mabao 2-1.
hii iliwafanya wawe na furaha kubwa ya kuweza kujihakikisha kua wanabaki katika nafasi yao ya pili.
Lukwije Etertainment.com
picha na frank lukwije

Goli kipa wa Man U akijalibu kuokoa michomo mikali kutoka kwa fowadi wa Arsenal.
Hakuna maoni