Header Ads

ad728
  • Breaking News

    Rais Magufuli achangia Tsh. Milioni 2 Kwaajili ya Kununua Mashine


     Rais John Magufuli amechangia Tsh. Milioni 2 kwa ajili ya kununua mashine ya kudurufu nakala pamoja na kuvuta umeme katika Shule ya Msingi Ileje iliyopo Rungwe mkoani Mbeya na kutoa siku 10 kukamilika kwa zoezi hilo.

    Ametoa kiasi hicho baada ya wanafunzi wa shule hiyo kumlalamikia kutokuwa na umeme na kifaa hicho katika shule yao.

    Rais Magufuli yupo mkoani Mbeya katika ziara yake ambap leo amezindua kiwanda cha parachichi katika muendelezo wa ziara yake ya siku nane mkoani Mbeya. HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA LUKWIJE ENTERTAINMENT.COM

    Hakuna maoni

    Post Top Ad

    ad728

    Post Bottom Ad

    ad728