Header Ads

ad728
  • Breaking News

    Majaliwa awataka wakuu wa shule kuthibiti michango holela.

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Wadau wa Elimu wa Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, kwenye kikao cha maendeleo ya elimu, kilichofanyika katika ukumbi wa Narung’ombe, Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa (CCM) Mkoa wa Lindi, amekutana na wadau wa elimu wa Wilaya ya Ruangwa kujadili masuala mbalimbali ya sekta hiyo.

    Hakuna maoni

    Post Top Ad

    ad728

    Post Bottom Ad

    ad728