Header Ads

ad728
  • Breaking News

    Maneno ya Mbasha kwa Joketi baada ya ndoa ya Alikiba

    Ushauri wa Mbasha kwa Jokate baada ya Ali Kiba kuoa.

    Siku ya April 19,2018 msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba alifunga pingu za maisha na mpenzi wake Amina Khalef,  Mjini Mombasa nchini Kenya na mastaa mbalimbali walitoa pongezi zao kuhusiana na maamuzi hayo aliyoyafanya Ali Kiba
    Kwa upande wa muimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha ameamua kumpa Jokate Mwegelo ushauri kuhusiana na Ali Kiba kufunga ndoa kutokana na tetesi zilizokuwa zikiwahusisha Ali Kiba na Jokate kuwa ni wapenzi lakini hawakuwahi kulithibitisha hilo popote.

    Hakuna maoni

    Post Top Ad

    ad728

    Post Bottom Ad

    ad728