Header Ads

ad728
  • Breaking News

    Mbunge AFICHUA Ujumbe Mzito Alioachiwa na Dr Mengi


    Ikiwa ni mwezi mmoja tu tangu Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania na Reginald Mengi  ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa makampuni ya habari ya vyombo vya habari ya IPP afariki dunia,Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Manyara Ester Mahawe amefichua alichoelezwa na Mengi walipokutana kabla ya kifo chake.

    Akizungumza kwenye Kongamano la wajasiriamali wanawake na Vijana mjini Katesh-Hanang mkoani Manyara,Mahawe alisema alipokutana na Mengi alimwambia nataka kuwa kama wewe lakini Mengi akamwambia usitamani kuwa kama mimi bali tamani kuwa zaidi ya mimi

    Hakuna maoni

    Post Top Ad

    ad728

    Post Bottom Ad

    ad728