Dirisha la uhamisho: Bale, Lukaku, Zaha - mikataba inayoweza kusainiwa dakika ya mwisho

Dirisha la uhamisho linakaribi lakini bado kuna uhamisho mkubwa unaotarajiwa kufanyika.
Kwa baadhi imekuwa kama kizungumkuti. Atakwenda? au Atasalia? Ni maswali yatakayojibiwa kadri muda unavyosogea na kuwadia kufungwa kwa dirisha la uhamisho kwa klabu za England 17:00 BST siku ya Alhamisi Agosti 8.
Hakuna maoni