Majaliwa awataka wakuu wa shule kuthibiti michango holela. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Wadau wa Elimu wa Wilaya ya ...
JE UNAPATA SHIDA NA MATENGENEZO YA AC NA WIRING YA UMEME? PET TUPO KWA AJIRI YAKO. Tunatoa huduma zifuatazo Tuna tengeneza AC aina zot...
SerikYasitisha Michezo ya UMISETA
SerikYasitisha Michezo ya UMISETA , UMITASHUMTA Yatoa Maelekezo Kuhusu Mahafali Kidato cha 6
BONDIA AFALIKI DUNIA BAADA YA PAMBANO LAKE KUISHA.
Bondia kutoka nchini Urusi, Maxim Dadashev amefariki dunia katika Hospitali ya UM Prince George, Maryland, United States baada ya pambano ...
Rais wa Tanzania John Magufuli apokea dhahabu na fedha zilizokamatwa Kenya
Serikali ya Tanzania imepokea kilo 35.34 za madini ya dhahabu zenye thamani ya dola milioni moja za Marekani na fedha kiasi cha shilingi...
Dirisha la uhamisho: Bale, Lukaku, Zaha - mikataba inayoweza kusainiwa dakika ya mwisho
Paul Pogba (kushto), Laurent Koscielny (kushoto kati), Mesut Ozil (kulia kati) and Leroy Sane (kulia) Diris ha la uhamisho linakaribi lak...
Uhuru Kenyatta atengua uteuzi wa Waziri wa Fedha, amteua Waziri wa Kazi kushika nafasi yake
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametengua uteuzi wa Waziri wa Fedha Henry Rotich na kumteua Waziri wa Kazi, Ukur Yattan kushika nafasi yake....
Mwinyi Zahera Ataja Sababu zilizofanywa Afungwe na Okwi
BAADA ya timu ya taifa ya DR Congo kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Uganda, juzi Jumamosi, Kocha Msaidizi wa DR Congo, Mwinyi Zah...
Mbunge AFICHUA Ujumbe Mzito Alioachiwa na Dr Mengi
Ikiwa ni mwezi mmoja tu tangu Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania na Reginald Mengi ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa makampuni ya haba...
Misikiti ni marufuku katika mji wa kale wa Aksum nchini Ethiopia
Kwa wakristo wa kiorthodoksi nchini Ethiopia , mji wa kale wa Aksum ni mji tukufu, nyumbani kwa malkia wa Sheba aliyetajwa kwenye bibilia ...
AFCON2019: Kodjia ainyanyua Ivory Coast dhidi ya Afrika Kusini
Mshambuliaji wa Aston Villa Jonathan Kodjia amefunga goli pekee liloamua mchezo wa baina ya Ivory Coast na Afrika Kusini. Mchezaji huyo ...
'Kiongozi wa mapinduzi' Amhara, Ethiopia auawa na polisi
Kiongozi wa jeshi anayeshukiwa kuongoza jaribio la mapinduzi siku ya Jumamosi katika eneo la Amhara nchini Ethiopia, ameuawa na polisi, ...
Serikali Yaitaka Sekta Ya Fedha Iwe Imara na Ihakikishe Huduma Zake Zinawafikia Wananchi Wa Mijini Na Vijijini
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema sekta ya fedha inapaswa kuwa imara na kuhakikisha huduma zake zinawafikia wananchi wengi katika maene...
Rais Magufuli achangia Tsh. Milioni 2 Kwaajili ya Kununua Mashine
Rais John Magufuli amechangia Tsh. Milioni 2 kwa ajili ya kununua mashine ya kudurufu nakala pamoja na kuvuta umeme katika Shule ya Msin...
Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU)
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Damas Ndumbaro (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Bal...
Orodha Ya Majina Ya Walimu Walioajiriwa Shule Za Msingi Na Sekondari April, 2019
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR-TAMISEMI) imepata kibali Cha kuajiri jumla ya walimu 4549 Kati ...
BREAKING NYUZZZZZZ........: MWENYEKITI WA MAKAMPUNI YA IPP, DKT. REGINALD MENGI AFARIKI DUNIA
Taaarifa iliyotufikia kwa masikitiko makubwa katika chumba cha habari ya Globu ya Jamii zinazeleza kuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampu...
TFF yaishushia rungu Yanga,
Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Tsh. 3,000,000 (milioni tatu) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutokana na wachezaji wa t...
Habari Siasa Zetu Msigwa awatibua CCM Iringa, ‘Huyu inabidi afungashe virago’
Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimewataka wanachama na wadau wa chama hicho kuupuza ujumbe wa mbunge wa jimbo la Iringa mjini...
Post Top Ad
Author Details
Post Bottom Ad